“Mimi na Kenyatta tumeongea kwenye simu tumeyamaliza, naagiza ndani ya wiki hii, Waziri wa Uchukuzi na Timu yake wakakutane na Waziri wa Kenya kule mpakani wakiwa na Wakuu wa Mikoa ya mipakani kama Mwanza, Mara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga ili wajadiliane”-JPM
“Viongozi wa Mikoa wasitatue matatizo kwa jazba, nafahamu ukichokozwa sana ukanyamaza na wewe unachokoza kidogo sio mbaya, ila tumeyazungumza na Kenyatta tumeyamaliza, Mawaziri na Wakuu wa Mikoa pia mkutane na wenzenu Kenya yaishe haya, ndani ya wiki hii “-JPM
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇