LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 16, 2020

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA

Dkt. Godwin Oloyce Mollel

Na Mwandishi Wetu

CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile ambaye ni Mbunge wa Kigamboni, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages