LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 17, 2020

MBUNGE ALMAS MAIGE WA TABORA KASKAZINI AFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2015-2020


Jimbo la Tabora Kaskazini ni kati ya Majimbo 12 ya uchaguzi kwa Mkoa wa Tabora, lina Kata 19.

Kwa kuwa mambo mengi yaliyofanywa na Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Almas Athuman Maige katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichompa ridhaa ya kugombea Ubunge na hatimaye kushinda kuwa Mwakilishi wa wana Tabora Kaskazini kwa nafasi ya Ubunge, yeye na timu yake wametumia mda wao kutengeneza au kuandika Taarifa ya utekelezaji huo katika kipindi cha miaka mitano, kuanzia Oktoba 2015 – Julai 2020, unajulikana kwa umma wa Watanzania hususani Wananchi wa jimbo hilo.

Utekelezaji wake huo, pamoja na kuzingatia mambo muhimu yaliyoainishwa kwenye Ilani ya uchaguzi, umegusa ahadi binafsi, pia baadhi ya ahadi alizozitoa  Rais Dk. John Magufuli  pamoja na  Makamu wake Samia Suluhu Hassan.  Aidha ahadi zote zilizotekelezwa na zile zinazoendelea kutekelezwa zitaonekana katika majedwali katika taarifa hiyo. Karibu uendelee kuisoma.


iframe class="scribd_iframe_embed" data-aspect-ratio="0.7019455252918287" data-auto-height="true" frameborder="0" height="600" scrolling="no" src="https://www.scribd.com/embeds/461819577/content?start_page=1&view_mode=scroll&access_key=key-VMEOcWFmbYqKVR0HcZig" title="Utekelezaji BOOK 2020" width="100%">

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages