LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 22, 2020

MAMBO YA UBUNGO DAR

Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (Ubungo Interchange) katika makutano ya Barabara za Nelson Mandela, Sam Nujoma na Morogoro jijini Dar es Salaam. Mradi huo unaogharimu TZS 200.7B utawezesha magari 65,000 yanayotumia barabara hizo kupita bila msongamano mkubwa.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages