LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 1, 2020

GSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA

   Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania Ghalib Said Mohamed ni miongoni mwa wanaomlilia Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Augustine Mahiga aliyefariki leo Dodoma.
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages