LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 22, 2020

ASKARI AKIMDHIBITI ABIRIA

  Askari aliyekuwa zam Kituo cha Mwendokasi Muhimbili akimtuliza abiria aliyekuwa akidai kusogea pembeni kidogo baada ya kujisahu kuteremka katika kituo cha Faya nakujikuta kufika Muhimbili (MNH) na alipoomba aweze kurudishwa Faya alikataliwa na kuteremshwa na kupelekwa Kituo cha Polisi. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages