LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AOMBOLEZA VIFO VYA 18 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA BARABARANI, MKURANGA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliofariki Dunia katika ajali ya barabarani iliyotekea leo Aprili 15, 2020, muda wa saa 12:55 asubuhi katika kijiji cha Kilimahewa Kaskazini, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani  

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages