''Na leo pia hatuna case mpya za COVID19. Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama amepona. Wagonjwa wengine 15 waliobaki wanaendelea vizuri.
Nitumie fursa hii kuwashukuru wananchi kwa kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ili kujikinga na Ugonjwa huu ikiwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka. Sasa pia tuongeze nguvu ktk kuepuka misongamano/mikusanyiko. Tuzingatie kukaa umbali wa mita 1 kati ya mtu na mtu."-Waziri @wizara_afyatz Mhe @ummymwalimu amesema. #JikingeWakingeWengine #PamojaTunavukaSalama@wizara_afyatz @elimu_ya_afya
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇