LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 3, 2020

DEREVA BODABODA APATA AJALI

 Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali iliyotokea Barabara ya Kilwa eneo la Mivinjeni Dar es Salaam jana iliyohisishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS kumgonga mwendesha Pikipiki yenye namba za Usajili  MC 919 CKY akitokea upande wa JKT na Dereva wa Gari hilo akijaribu kukatiza marabara eneo hilo la ajali kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wasamaria wema wakijaribu kumbeba na kumuingiza katika Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS Dereva wa Pikipiki yenye namba za Usajili  MC 919 CKY na kukimbizwa hospitali.
 Askari wa Usalama Barabarani akiwa na wananchi eneo la tukio. 
 Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali
 Wananchi wakimuangalia  Dereva wa Pikipiki yenye namba za Usajili MC 919 CKY akiwa amelala chini baada ya kupata ajali ya kugongwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS
 Dereva wa Pikipiki yenye namba za Usajili MC 919 CKY akiwa amelala chini baada ya kupata ajali ya kugongwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages