LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 3, 2020

ASKARI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAMNASA MUHALIFU WA GARI

 Kijana aliyefahamika kwa Jina la Saidi Matanga (40) ambaye ni Mkazi wa Yombo Jijini Dar es Salaam, Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 514 DRJ amejikuta akiwa katika Ulizi mkali chini ya Askari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili mara baada ya kutaka kujaribu kupora gari lenye namba za Usajili T 233 DSD mali ya Abdi Kijazi Mkazi wa Yombo Vituka. ambapo amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Selander Bridge kilichopo Upanga. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Gari lililotaka kuporwa na Saidi Matanga (40) ambaye ni Mkazi wa Yombo Jijini Dar es Salaam, Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 514 DRJ
 Saidi Matanga (40) akijaribu kufisha uso wake ili asipigwe picha


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages