RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Dk. Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na kufanya mazungumzo leo 5/3/2020. Picha na Ikulu, Zanzibar. KWA PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Mar 6, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇