Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya walemavu, Stella Ikupa (kulia) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface
mara baada ya kufika katika Taasisi hiyo. wa tatu kulia ni Katibu (U.W.T) Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Haule na Mwenyekiti (U.W.T) Mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave wa pili kulia. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface (kushoto) akimwelekeza jambo Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya walemavu, Stella Ikupa (MB). Kulia ni Mwenyekiti (U.W.T) Mkoa wa Dar es Salaam Dorothy Kilave akisikiliza kwa makini.
NA KHAMISI MUSSA
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Naibu Waziri Ikupa (MB) alianza kwa kumshukuru Mungu na ninakushukuru pia Mkurugenzi Mtendaji kama ambavyo umesema.
Kwanza nitambue uwepo wa Mwenyekiti Mkoa wa Dar es Salaam (U.W.T) Dorothy Kilave, uwepo Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Simon Mwakifamba na Katibu (U.W.T) Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Haule na wote walionisindikiza pia nitambue uwepo wa Mkurugenzi MOI na timu yake na waandishi wahabari pia nimeambatana na vijana wa Chama cha Mapinduzi.
Mkurugenzi na watendendaji wa Taasisi hii ya MOI napenda kuwashukuru sana kwa kazi yenu, Mkurugenzi nipo hapa kama Mbunge Viti maalum ninatokana na Mkoa wa Dar es Salaam lakini pia kwenye Jumuiya ya Wanawake nipo kwa ajili ya kusherekea Siku ya Wanawake Duniuani.
Mimi nikiwa kama Mbunge ambaye ninatokana katika kundi la watu wenye ulemavu lakini kupiti Mkoa huu nikaona basi ipo haja niweze kufika katika Taasisi hii niweze kuangalia watoto wenye vichawa vikubwa na mgongo wazi kwakuwa ni mbunge wao nafaham changamoto kubwa wanayoipiti wao kama watoto hasa wazazi wao
Ambao wanawatunza hawa watoto toka wanapo zaliwa mpaka wanapoendaelea na makuzi yao, Mara kadhaa nilipokutana nao waliongelea changamoto kubwa sana ni pampas
Mara nyingi zinawagharimu katika upatikanaji wa hizi pampas kwa hiyo nijambo ambalo niuhitaji mkubwa kwao kama kundi kubwa la watu wenye ulemvu kama ilivyo makundi mengine kwa mahitaji kulinga na aina ya ulemavu wao.
kwahiyo kwa kidogo ambacho nimefanikiwa kukipata basi nikaona ipo haja ya kusherehekeaa Siku ya Wanawake Duniani nikiwa kama mama nikiwa kama mwanamke nisherehekee kwa kidodo nilichokipata kwa kuwapatia pampas na ninaamini kwa kile nitakacho kitoa leo kinaweza kusogeza kwa siki mbili tatu na hati maye kuweza kupunguza mzigo kidogo kwa wazazi wao.
Ikupa alisem, Kama nilivyo sema nimekuja kama mbunge na ndiomaana nimefuatana na viongozi wangu wa Chama cha Mapinduzi ili waone utekelezaji wa Ilani kupitia sisi wabunge wao.
Lakini nitumie nafsi hii kuwashukuru sana kwa sababu taarifa hii imewafikia ni zaidi ya muda mfupi lakini kwavile ambavyo mmeweza kujitoa na kuambatana na mimi ili muweze kuwaona watoto hawa lakini hii nikazi yenu na nimatunda yenu na mimi ni mbunge wenu na mlinituma nikaliwakilishe na kulisemea hili kundi kwa kutatua changamoto zao asanteni na Mungu awabariki sanaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface alianza kwa kuwashukuru wote walioambatana na Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya walemavu, Stella Ikupa (MB).
Tunashukuru kwa Mhe. Naibu waziri kuja kututembelea na kuja waona wagonjwa wetu wanatia imani ila kupitia msaada wako ninimani baraka zake zitakavyokuja mwenyewe utashangaa pia kwaniab y wafnykzi w MOI Napend kusema asnte sana na Mungu awabariki
Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya walemavu, Stella Ikupa akizungumza na akinamama waliolazwa katika Taasisi hiyo ya MOI na watoto wao wakati alipofika kutoa zawadi
Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya walemavu, Stella Ikupa (MB)wa nne akikabidhi msaad huo kwa uongozi wa Taasisi ya MOI, wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface na kulia katikati ni Anna Agust akipoke kwa niaba ya akina mama waliolazwa na watoto wao katika Taasisi hiyo ambapo yeye akiwa amelaazwa na mtoto wake Vaileth Frenk (10)
Your Ad Spot
Mar 6, 2020
Home
featured
habari picha
NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI
NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI MOI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇