LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 23, 2020

KATA YA KIVUKONI CCM YAKABIDHI VIFAA NA SABUNI KUJILINDA NA UGONJWA WA HOMA KALI YA MAPAFU YANAYOSABABISHWA NA VIRUSI VYA CORONA

Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik  Choughule (wa katikati) akiwa na viongozi wa Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, kukabidhi vifaa na sabuni kwa ajili kuosha mikono kujilinda na ugonjwa wa homa kali ya mapafu  unaosababishwa na virusi vya corona, ambapo tuliwapa madereva wa bajaji walemavu wa kituo cha feri.
Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik  Choughule (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wenzake kutoka Ofisa ya Mtendaji wa Kata ya Kivukoni, Remmy Mishekhe na Ofisa Afya Kata ya Kivukoni Siriero Kileo na Katibu wa CCM Kata ya Kivukoni, Said Mwanga kwa lengo la kukabidhi vifaa na sabuni kwa ajili kuosha mikono kujilinda na ugonjwa wa homa kali ya mapafu  unaosababishwa na virusi vya corona
Mwekiti wa CCM kata ya kivukoni Sharik  Choughule akiosha mikono yake vizuri kwa umkini mkubwa mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo leo Machi 23, 2020.


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages