Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Mhe. Angella Kairuki akijibu hoja za
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati
walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa
Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa
Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Asha Abdalla Juma
akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato
na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6)
yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba
akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato
na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6)
yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu
hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati
walipowasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa
Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa
Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Ally Saleh Ally akizungumza
jambo wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato
na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6)
yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,
Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri
Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na Makadirio ya mapato na
matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu sita (6) yaliyochini
ya Ofisi hiyo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga
akiongoza kikao cha kamati hiyo cha Kupokea na Kujadili taarifa ya
Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 pamoja na
Makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 kwa Mafungu
sita (6) yaliyochini ya Ofisi hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma. Kulia ni Katibu wa kamati hiyo, Ndg. Stanslaus Kagisa
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇