LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 1, 2020

CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) YATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA (MoU)

 TDA yatia Saini makubaliano ya ushirikiano (MoU) wa masuala ya Afya ya Kinywa na Meno kwa nchi za ukanda wa mto Nile. Aswan, Egypt 27/2/2020
 Rais wa chama cha madaktari wa afya ya kinywa na meno Tanzania, Dkt. Ambege Mwakatobe akisalimiana na Prof. Mohamed Sobhy Omer, Rais wa chama cha madaktari wa meno Aswan Dental Syndicate Egypt mara baada ya hafla hiyo kumalizika Aswan, Egypt 27/2/2020. (PICHA ZOTE NA TDA)

Kushoto ni Dr. Timothy Theuri katibu mkuu chama cha madaktari wa kinywa na meno Kenya KDA

1 comment:

  1. Hatua nzuri sana ,hongera sana kwa TDA, kupitia hili Tasnia ya ya kinywa na meno Tanzania itapanuka zaidi.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages