Wanafunzi watano wa shule ya msingi Ndelenyuma,Ruvuma wamefariki Dunia na mmoja amejeruhiwa baada ya kugongwa na Land Cruiser lililokuwa likitokea Songea kwenda Madaba, Gari hilo liliacha njia na kuwagonga wanafunzi kisha likapinduka, Dereva aliyefahamika kwa jina moja la Salum ametoroka.
“Chanzo cha ajali iliyoua wanafunzi watano ni mwendo kasi wa Dereva wa Land Cruiser, hakujali mvua na utelezi, Gari likamshinda na kuwagonga Watoto pembezoni mwa Barabara wakadondokea mtaroni, watatu walisombwa na maji miili yao imekutwa Mita 100 kutoka eneo la ajali”-Simon Maigwa, RPC Ruvuma
Your Ad Spot
Feb 13, 2020
WANAFUZI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇