LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AONGOZA HAFALA YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDUL WAKILI KIKWAJUNI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, jana. Wengine ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid (kulia). PICHA NYINGI ZA TUKIO HILO>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages