LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 29, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AMTEMBELEA KUMJULIA HALI MZEE MAGULA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akimjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, leo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, Gerson Msigwa imesema Mzee Mangula alipelekwa katika Hoapitali hiyo jana baada ya kuugua ghafla.
 Rais akizungumza na Mzee Mangula
Rais akifanya sala ya pamoja na Mzee Mangula

2 comments:

  1. Mko vizuri endeleeni kutuhabarisha

    ReplyDelete
  2. Mzee Mangula pole sana kwa maradhi/ugonjwa unaokusumbua. WanaCCM wote naomba tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu mzee wetu apone haraka na arudi katika majukumu yake ya kumsaidia Mwenyekiti wetu kukivusha Chama katika kipindi hiki cha maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa 2020.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages