LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2020

POLAND YANUNUA NDEGE ZA KIVITA KUTOKA MAREKANI

Poland yanunua ndege za kivita kutoka MarekaniPoland yanunua ndege za kivita 32 aina ya  F-35 kutoka Marekani.
Taarifa ya maandishi iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema,
“Katika muktadha wa mpango wa mauzo ya  nje wa vifaa vya kijeshi ulioisimamiwa na wizara yetu tumepokea kwa furaha uamuzi wa serikali ya Poland kununua ndege za kivita 32 aina ya F-35A Lightining II, mauzo yenye thamani ya dola bilioni 4,6.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages