Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya
Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule akiongoza kikao cha mapitio ya Bajeti ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini,
Fred Mazone akizungumza wakati wa kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.Kulia ni Kaimu Kamishna wa
Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule.
Afisa Usimamizi wa Fedha(FMO) kutoka Wizara ya
Fedha na Mipango,Bw. Ezekiel Odipo ambaye pia ni Msimamizi wa Dawati la Bajeti
ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa akichangia mada wakati wa kikao cha
mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini
Dodoma.
Baadhi ya wajumbe Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2020/2021 toka ofisi hiyo
wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa
Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Robert Mtengule katika kikao
kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya Mwaka 2020/2021 toka ofisi hiyo
wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa
Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule katika kikao
kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya
Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama
vya Siasa (ORPP) toka ofisi hiyo wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao
hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na
MipangoBw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye
ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.Kikao hicho kimehusisha wajumbe kutoka
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wizara ya Fedha na Mipango. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
- ORPP).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇