Shamrashamra na shughuli mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika ngazi mbalimbali kusherehesha Maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu Februari 5, 1977. Pichani, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Philip Mangula akizungumza akiwa mgeni rasmi katika Kongamano maalum la Maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, zilizofanyika katika ukumbi wa Kikwete jijini Dodoma, jana. Picha na Halima Kambai. Kwa Picha zaidi>>>>> BOFYA HAPA.
Your Ad Spot
Feb 8, 2020
MZEE MANGULA AONGOZA MAADHIMISHO MIAKA 43 YA CCM MKOA WA DODOMA
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇