KLABU
ya Yanga leo Jumamosi Feburuari 1, 2020 wamemshusha, Carraca Antonio
Domingos Pinto raia wa Ureno kwaajili ya kusimamia mfumo wa uendeshaji
wa klabu yao.
“Ukiangalia
wasifu wake utaona kabisa kwamba huyu jamaa ni wa namna gani, alipita
Benfica ambapo imewatoa wachezaji wengi pia amekuwa bora katika kuwauza
wachezaji wao kama Contrao na wengineo,” alisema.
Yanga
wapo katika mkakati wa kuelekea kwenye mabadiliko ya kiuendeshaji na
wamemleta Domingos kwaajili ya kusaidia mchakato huo kuwa wa mafanikio.
Domingos
aliwahi kufanya kazi na Benfica mwaka 2008-2013 akiwa Meneja Mkuu kabla
ya baadae kutimkia kampuni ya WSPORTS 7 akiwa kama meneja mkuu. GPL
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇