Msajili wa Bodi ya Maabara Binafsi za Afya akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam. Kwa lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa Taaluma ya Maabara kuwa kitu kimoja na kuzungumzia changamoto na kuangalia wapi wanapo elekea.
Mmoja kati ya wanafunzi hao akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Lifeline Pharmacy LTD, David Mujemula akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam.Afisa Masoko wa Anudha LTD. Nyanda Sweya akizungumza jambo katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam.
Mwakilishi wa CDC Lilian Shija akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam. Huku akisisitiza wa Dada kuweka bidii katika masomo na wawe na ndoto ya kujiendeleza
A'm proud of being among
ReplyDeletelaboratory scientist
It was very encouraging event at all🙏🙏🙏
ReplyDelete