Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akizinduajengo la Chama cha Msingi cha Ushirika (Uyogo AMCOS) katika kataya Uyogo na kuahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa jengohilo.
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa,akizungumza na wananchi wa kata ya Uyogo kuhusu maendeleo yajimbo katika miradi inayoendelea kutekelezwa na ile iliyokamilikakatika kata hiyo.
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akiongeana wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Nsunga katika kata ya Uyogoiliyopo katika Halmashauri ya Ushetu.
Baadhi ya wananchi katika kata ya Uyogo wakimshangilia Mbunge wajimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandiwa, (hayupo pichani).
Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa,akizungumza na wananchi katika kijiji cha Nsunga kuhusu kazi zakimaendeleo zinazoendelea kufanyika katika kijiji hicho |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇