Chipukizi wa
Umoja wa Vijana wa CCM Taifa akimvisha Skafu Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam
na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilipowasuili katika ukumbi wa Urafiki Jijini
Dar es salaam leo 16 Febuari 2020 kwa ajili ya kuzindua kongamano la
Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye
mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua kongamano la Wasichana wa
UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko
wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. kongamano hilo limezinduliwa
leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa Urafiki.
Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa Makamu
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Tabia Mwita na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Raymond S Mwangwala wakati wa uzinduzi wa
kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es
salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi.
kongamano hilo limezinduliwa leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa
Urafiki.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇