Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa Sabasaba mjini Kibaha.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha Keki Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ramadhani Maneno Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa sabasaba Mjini kihaba.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha Keki Mmoja ya wasanii wa Muziki Raia wa Japani Ryuta Okamoto Afisa wa Maendeleo Songea Vijiji JICA, aliyetumbuiza kwenye Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Pwani yaliyofanyika leo Febuari 15,2020 katika Uwanja wa sabasaba Mjini kihaba.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇