Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia CCM leo February 18, 2020 na kupokelewa na Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
“Baada ya kutafakari mwenendo mzima wa siasa na uchumi nchini na kuangalia kina nani wako tayari nikaona kwa upande wetu Chadema bado tuko mbali sana kuchochea mambo haya ya maendeleo,”- Amesema Dk. Vincent Mashinji
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇