LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 26, 2020

BARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA UBUNGO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KAWAIDA CHA ROBO YA PILI YA MWAKA 2019/20

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic akifungua Kikao cha Baraza la kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kikao hicho, Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob.


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic na Meya wa Manispaa hiyo wakiwa tayari ukumbini kwa ajili ya kuendesha Kikao cha Baraza la Kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic na Meya wa Manispaa hiyo wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa kwa ajili ya kuanza Kikao cha Baraza la Kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni
Wakuu wa vombo vya Ulinzi na Usalama ambao ni Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, wakipiga saluti wakati wimbo huo wa Taifa ukiimbwa ukumbini kabla ya kuanza Kikao cha Baraza la Kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni
 Picha na Bashir Nkoromo. KWA PICHA ZAIDI ZA KIKAO HICHO TAFADHALI>>> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages