LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2020

MAREKANI YATUMA MASHUA YAKE YA KIVITA USS BATAAN MASHARIKI YA KATI

   Mashua ya kivita  ya jeshi la Marekani  USS Bataan iliokuwa ikiratibu mazoezi na  mafunzo  barani Afrika imesitisha  wajibu wake huo na kujielekeza  Mashariki ya Kati

Mashua ya kivita  ya jeshi la Marekani  USS Bataan iliokuwa ikiratibu mazoezi na  mafunzo  barani Afrika imesitisha  wajibu wake huo na kujielekeza  Mashariki ya Kati.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani, mashua hiyo  iliojielekeza barani Afrika Disemba  kwa ajili ya mazoezi imewasili   Moroko wiki iliopita.
Mashua hiyo ina wanajeshi 2100.

Ikumbukwe kwamba, jeshi la Marekani limeendesha shambulizi ambalo limepelekea kuuawa kwa jenerali wa jeshi la Iran Qassin Soleimani mjini Baghdadi.

Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kulipiza kisasi kwa kuuawa kwa jenerali wake Qassam Soleimani.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages