LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2020

CEDRIC SOAREA AJIUNGA NA ARSENAL

  Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kulia Cedric Soares kutoka Southampton kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.
Soares, ambaye mkataba wake na Southampton unaisha mwisho wa msimu huu anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Arsenal kwenye dirisha hili la Januari baada ya kusajili Pablo Mari kwa mkopo kutoka Flamengo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages