Waziri wa
Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia mazoezi ya
vitendo ya baadhi ya askari wa Jeshi Usu wa Wakala wa Misitu Tanzania
(TFS) waliohitimu mafunzo ya utayari wa jeshi hilo katika eneo la Fort
Ikoma Serengeti, mkoani Mara.
PICHA/ Aron Msigwa – WMU
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika eneo la Fort Ikoma ndani ya
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya
Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokea heshima ya kijeshi kutoka askari wa
Jeshi Usu mara baada ya kuwasili katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa
ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa
watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua gwaride la heshima la askari wa Jeshi
Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka Wakala wa
Misitu Tanzania (TFS) katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
mkoani Mara.
Gwaride la ukakamavu la askari wa
Jeshi Usu waliohitimu mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka wa Wakala
wa Misitu Tanzania (TFS) likipita mbele Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya utayari ya
Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) eneo la
Fort Ikoma Serengeti mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇