|
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda akihutubia alipokuwa akifungua semina ya wazalishaji, wasindikaji na
wauzaji wa bidhaa za vyakula na vipodozi kuhusu ubora wa viwango katika
Ukumbi wa Benki Kuu, mjini Mtwara. Semina hiyo imeandaliwa Shirika la Viwango Tanzania,TBS. |
Meneja Utafiti na Mafunzo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Hamis Sudi akisoma hotuba ya ukaribisho kabla ya Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda, kufungua semina ya wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za vyakula na vipodozi, kuhusu ubora wa viwango katika Ukumbi wa Benki Kuu, mjini Mtwara.
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi na washiriki baada ya kufungua semina ya wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za vyakula na vipodozi kuhusu ubora wa viwango katika Ukumbi wa Benki Kuu, mjini Mtwara.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇