Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi ya
Shilingi bilioni moja kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi Stadi Ndg. Peter Maduki (kushoto) ikiwa ni gawio la
VETA kwa Serikali katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma leo tarehe 12
Desemba 2019. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu.
Wengine katika picha ni Msajili Hazina, Athumani Mbuttuka na Naibu
Katibu Mkuu, Adolf Ndunguru.
Watendaji
Wakuu wa VETA wakisikiliza nasaha kutoka Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Philip Mpango wakati wa hafla ya kuwasilisha gawio kwa Serikali
iliyofanyika jijini Dodoma leo, tarehe 12 Desemba 2019. Katika hafla
hiyo VETA imetoa gawio la Shilingi Bilioni Moja. Kulia ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Taifa ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Ndg. Peter Maduki,
Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu (katikati) na Kaimu
Mkurugenzi wa Fedha wa VETA Ndg. Anthony Kasore (kushoto).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇