Mkuu wa Wilaya ya Songea, Palolet Mgema (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wauzaji wa bidhaa za vyakula na vipodozi baada ya kufungua semina wazalishaji, wasindikaji na wauza bidhaa za vyakula na vipodozi kuhusu viwango iliyofanyikajuzi mjini Songea. Semina hiyo iliendeshwa na maofisa kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Your Ad Spot
Dec 5, 2019
TBS YAWAPIGA MSASA WAZALISHAJI, WASINDIKAJI NA WAUZA VIPODOZI SONGEA
Tags
featured#
Uchumi#
Share This
About Richard Mwaikenda
Uchumi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇