Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi, Thomas Safari (kulia), akifungua semina ya wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za chakula na vipodozi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Lindi leo. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Hamis Sudi na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kusini wa TBS, Ramadhan Hassan.
Ofisa Viwango wa TBS, Fatuma Mauniko (kulia), akiwasilisha mada ya viwango kwa wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za chakula na vipodozi katika semina iliyofanyika mjini Lindi leo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina hiyo.
Ofisa Viwango wa TBS, Fatuma Mauniko (kulia), akiwasilisha mada ya viwango kwa wazalishaji, wasindikaji na wauzaji wa bidhaa za chakula na vipodozi katika semina iliyofanyika mjini Lindi leo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇