LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 26, 2019

ANGEL AKILIMALI ATUNUKIWA SHAHADA YA PILI YA SAYANSI YA JAMII NA MAWASILIANO YA UMMA (MSc)

Mkuu wa Idara ya Siasa na Habari (UMG) Angel Akilimali (Pichani), ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameongeza kiwango chake cha elimu ya juu kwa kutunukiwa Shahada ya pili ya Sayansi ya Jamii na Mawasiliano ya Umma (MSc. Arts and Mass Communication) katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (St. Augustine) cha jijini Mwanza, Kada huyo wa CCM ametunukiwa shahada hiyo katika Mahafali yaliyofanyika kwenye chuo hicho mnamo tarehe 20/12/2019. PICHA ZAIDI-BOFYA HAPA

1 comment:

  1. Hongera Dada angu Angel,sisi watanzania tunategemea elimu hiyo iwe msaada kwa chama chetu na taifa letu,Mungu awe nawe

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages