Watu 4 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa mkoani Kagera wakati wakijibizana kwa risasi na jeshi la polisi wilayani Bihalamuro katika eneo la pori la ngazi 7.
Kwa mujibu wa kamishina wa operesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Liberatus Sabas amesema tukio hilo limetokea wakati polisi wakiwa katika Doria yao ya kawaida ambapo waliona kundi la watu wakitokea kaka pori hilo na kuwaamuru kujisalimisha.
Kamanda Sabas amesema kuwa baada ya watu hao hawakuweza kutii amri hiyo badala yake walianza kurushiana risasi na polisi walipojibu walifanikiwa kuwapiga risasi na kufanikiwa kuwaua.
Kamishna amesema operesheni maalum inaendelea katika mikoa ya Geita Kigoma na Kagera kutokana na mikoa hiyo kuwa na matukio mengi ya unyang’anyi wa kutumia siraha. Aidha amesema wmefanikiwa kupata siraha moja aina ya SMGna risasi 7 waliyokuwa wakitumia waharifu hao.Hataa hivyo kwa mujibu wa kamishna sabas miili ya watu hao ipo ka?ka hospitali ya mkoa hu
Your Ad Spot
Nov 1, 2019
WATU 4 WAUAWA MKOANI KAGERA
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇