Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimsikiliza mwanafunzi wa mwaka wa
pili Shahada ya Utawala na Wanyamapori, Ndg. Boaz Loya aliemuelezea
kuhusu tabia za ndege mbalimbali alipokuwa akikagua maonesho
yaliyoandaliwa na Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro. Wa pili kulia ni
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt.Khamis Kigwangala
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri
kwa mwaka 2019 katika Mahafali ya 55 ya Chuo cha usimamizi wa
wanyamapori leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kumi kulia mbele) akiwa katika picha ya
pamoja na wahitimu wa Chuo cha usimamizi wa wanyamapori mwika katika
mahafali ya 55 ya chuo hicho yaliyofanyika leo chuoni hapo Mkoani
Kilimanjaro.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Mhe. Dkt. Khamis Kigwangala wakati alipowasili kama mgeni rasmi katika
mahafali ya 55 ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika leo Mkoani
Kilimanjaro.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na viongozi mbalimbali wa
serikali, watumishi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika na wageni
waalikwa wakati alipowasili kama mgeni rasmi katika mahafali ya 55 ya
Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akishuhudi ngoma iliyoandaliwa na Chuo cha
Usimamizi wa Wanyamapori Mwika wakati wakimpokea kama mgeni rasmi katika
mahafali ya 55 ya Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili
katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mwika kama mgeni rasmi katika
mahafali ya 55 ya Chuo hicho leo Mkoani Kilimanjaro.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Dkt. Anna Mghwira alipomtembelea leo Ofisini kwake Mkoani Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇