Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee
Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea Makaburini kwaajii ya kutoa heshima zake mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani
Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitazama Makaburi ya Familia ya Mzee Sugwa mara baada kutoa heshima za mwisho kwenye kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende
Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia waombolezaji nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita aliyefiwa na Mwanae Shija Sugwa,pia alimtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe Marehemu Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Beatrice Masanilo aliyefiwa na mumewe walipokutana nyumbani kwa Mzee Sugwa kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita, alipomtembelea na kutoa pole kwa kufiwa na Mkewe Marehemu Bi. Sabina Ndege Kilanda aliyefariki dunia Septemba 15, 2019 na mwanae Shija Sugwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za mwisho katika kaburi la Bi. Sabina Ndege Kilanda Mke wa Mzee Sugwa aliyefariki duni Septemba 15, 2019 katika kijiji cha Katende Wilayani Chato mkoani Geita. Rais Dkt. Magufuli ametoa pole
kwa Mzee Sugwa kufuatia kifo cha Mkewe pamoja na Mwanae Shija Sugwa.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇