LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 22, 2019

RAIS DK. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI UJENZI WA MIRADI YA HOSPOITALI YA UHURU, SOKO KUU, NYUMBA ZA POLISI NA STENDI KUU YA MABASI JIJINI DODOMA


 Rais Dk. John Magufuli akisaidiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma, leo.  Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Sh. Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa. KWA PICHA NYINGINE NYINGI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages