LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 2, 2019

MOTO WAZUKA KATI YA GHOROFA ZILIZOPO MTAA WA PEMBA DAR ES SALAAM


 Wananchi wakiangalia moto uliokuwa ukiwaka katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Moja ya Gari Zimamoto na Uokoaji nchini  likiwa eneo latukio likipandisha maji juu
 Baadhi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini wakishirikiana na wananchi kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam

 Baadhi ya wananchi wakiwa chini 

 Baadhi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto wakishirikiana na wananchi kuuvuta mpira wa                                                 maja katika moja ya Ghorofa lililopo Mtaa wa Pemba Jijini Dar es Salaam






No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages