LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2019

MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU "SHEREHE ZA MAULID KITAIFA JIJINI MWANZA"

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili, kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, (Mazazi ya Bw. Mtume Muhammad S.A.W) zilizofanyika katika viwanja vya Furahisha jijini humo usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages