Mshambuliaji
Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili
dakika ya 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Slavia Praha kwenye
mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Sinobo
mjini Praha. Mabao mengine ya Napoli yote yalifungwa na Lautaro
Martinez dakika ya 19 na 88, wakati bao pekee la Slavia Praha lilifungwa
na Tomas Soucek kwa penalti dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Your Ad Spot
Nov 28, 2019
LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA
Tags
featured#
Michezo#
Share This
About Richard Mwaikenda
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇