LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2019

KIBONDO WANUFAIKA NA TBS KUHUSU ELIMU YA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA

 Mkurugenzi wa Udhibiti ubora,  wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Gervas Kaisi  akihutubia kwa niaba ya Mkurugenzi wa TBS,  Dk Athuman Ngenya wakati wa kumkaribisha Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Ayoub Sebabili. kufungua semina  wafanyabiashara, wasindikaji na wazalishaji wa bidhaa mjini Kibondo jana. Jumla wazalishaji, wasindikaji na wafanyabiashara 98 walishiriki smina hiyo iliyohusu elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa. Pia semina kama hiyo iliyoandaliwa na TBS   ilifanyika wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Ayoub Sebabili (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina hiyo. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages