LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2019

ZAIDI YA KONDOO 2000 WAKATISHA KATIKA JIJI LA MADRID


Zaidi ya kondoo 2000 wamekatisha katikati ya jiji la Madrid hapo jana siku ya Jumapili ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya mwaka 1994, kwa wafugaji kuwa na haki ya kukatisha katikati ya jiji hilo kipindi kama hiki wakiwa na wanyama wao na kukatiza njia hizo ambazo zilikuwa za jadi zama hizo wakati.

Safari ya wanyama ilianzia eneo la Casa de Campo ilipokua ni sehemu ya mawindo na kukatiza makao makuu ya benki ya Hispania wakielekea nje ya mji.

Safari hiyo ilisababisha foleni na msongamano lakini baadhi ya raia walipata muda wa kupiga picha na kuwapa chochote wanyama hao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages