LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2019

Waziri Mkuu Majaliwa, Aweka Jiwe La Msingi, Katika Kituo Cha Kupozea Umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodomana Iringa Awamu Ya Pili


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages