LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2019

WAZIRI LUKUVI AAGIZA WANANCHI WOTE WALIODHURUMIWA KULIPWAFIDIA.

    Sharifa Mussa Mkazi wa kitongoji cha Chanika akimuonesha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi madai yake ya fidia ya ardhi ambayo bado hayajalipwa wakati wa mkutano wa hadhara wa utatuzi wa kero za ardhi kwa wakazi wa mji wa Handeni katika uwanja wa Soko la Zamani Chanika  maarufu Nyerere Square Wilayani Handeni Mkoani Tanga.
   Amina Ali Kiwale Mkazi wa kitongoji cha Chanika akimuelezea  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi madai yake ya fidia ya ardhi ambayo bado hayajalipwa  wakati wa mkutano wa hadhara wa utatuzi wa kero za ardhi  kwa wakazi wa mji wa Handeni katika uwanja wa Soko la Zamani Chanika  maarufu Nyerere Square Wilayani Handeni Mkoani Tanga.
 Sufian Sanyimina Mkazi wa kitongoji cha Chanika akimpa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi uthibitisho wa madai yake ya fidia ya ardhi ambayo bado hayajalipwa wakati wa mkutano wa hadhara wa utatuzi wa kero za ardhi kwa wakazi wa mji wa Handeni katika uwanja wa Soko la Zamani Chanika  maarufu Nyerere Square Wilayani Handeni Mkoani Tanga.
     Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akimpa taarifa ya Wilaya ya handeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi kuhusu sekta ya ardhi katika Wilaya yake.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages