LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 22, 2019

WALINZI WA AMNI 16 WAUAWA NCHINI AFGHANISTAN

Walinzi wa amani 16 wauawa nchini Afghanistan
Walinzi wa amani 16 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa Taliban katika mji wa Ali Abad huko Kunduz nchini Afghanistan.
Mkuu wa usalama wa Kunduz Abdul Rashid Bashir alihabarisha kwamba  idadi kubwa ya wanamgambo wa Taliban walivamia kituo kikubwa cha Ali Abad na kufanya shambulizi.
Katika shambulizi hilo walinzi wa amani 16 walipoteza maisha, wanamgambo wengi wa Taliban pia waliuawa katika tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages