LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2019

TBS YATOA ELIMU YA JINSI YA KUPATA ALAMA YA UBORA KATIKA KONGAMANO LA UJASIRIAMALI MBALIZI, MBEYA.

Mkaguzi Ubora Mhandisi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Yekonia Sanga akitoa elimu kwa Wajasiriamali namna ya kupata alama ya ubora ya TBS katika Kongamano la Ujasiriamali na Kutangaza fursa na masoko linalofanyika katika viwanja vya Kituo cha Mabasi cha Mbalizi, mkoani Mbeya
 Wajasiriamali wakisikiliza kwa makini wakati elimu hiyo ikitolewa katika kongamano hilo.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages