LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2019

RAIS MUSEVEN WA UGANDA: RUSSIA ILIZISAIDIA SANA NCHI ZA AFRIKA KUDAI UHURU WAO, hivyo iendelee roho hiyo

Rais Museven ameyasema hayo kando na mkutano uliowakutanisha viongozi wa nchi za Afrika na Rais Vladmir Putin wa Russia katika mji wa bandari wa Sochi. Aidha Museven kama walivyofanya marais wengi wa Afrika alimtaka Rais Putin kuiuzia silaha na zana za kisasa za kijeshi nchi yake.
Jeshi la Uganda
Katika hatua nyingine jeshi la Uganda limefanya kikao maalumu na wakuu wa idara za usalama kujadili njia za kukabiliana na ongezeko la matukio ya wizi na ujambazi ndani ya nchi hiyo mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kwa maelezo zaidi jiunge na mwandishi wetu wa mjini Kampala, Kigozi Ismail kwa kubonyeza alama ya sauti pale juu……………/

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages